Asili. Salama. Yenye nguvu.

Afya yako, kwenye mizizi ya Afrika.

Afya Nono inakuletea dawa za mitishamba zilizoandaliwa kwa weledi — kutoka mashambani na misitu ya Tanzania, hadi mlangoni kwako. Tiba ya asili, kwa maisha ya kisasa.

12,000+Wateja waliotumikiwa
50+Bidhaa za asili
98%Mapendekezo ya kurudia
Tunafanya kazi sasa
MlongeMti wa uhai
TangawiziJoto la mwili
HibiscusVit. C ya juu
A
"Maumivu ya tumbo yamenitoka kabisa."
Mama Asha · Mwanza
Kwa nini Afya Nono

Mizizi ya Afrika, viwango vya kisasa.

Tunaheshimu utamaduni wa tiba ya asili, lakini tunaiendesha kwa weledi, usafi, na uwazi.

01

Asili 100%

Mimea inavunwa kutoka kwa wakulima wadogo wadogo wa Tanzania. Hakuna kemikali za kushtua mwili.

02

Imepimwa & Salama

Kila batch hupimwa katika maabara binafsi. Tunajua dosari ndiyo gani na utakaribia kuipata wapi.

03

Ushauri wa Bure

Tuma swali WhatsApp, mfanyakazi atakuongoza kuchagua dawa sahihi kwa hali yako.

04

Tunafika Mlangoni

Tunatuma Dar, Mwanza, Arusha, Mbeya na sehemu nyingine kwa boda au basi ndani ya saa 24-48.

Bidhaa zetu

Madawa yaliyochaguliwa kwa makini.

Toka kwenye matatizo ya tumbo, mfumo wa kinga, hadi nguvu za kiume — tuna dawa iliyopimwa kwa kila hitaji.

Inauzwa sana
BAWASIRI FREE

Watu wengi wanaumia na bawasiri kimya kimya ndani, wanadhani ni ugonjwa wa ajabu na wa aibu lakini ni ugonjwa wa kawaida sana. Na unasababishwa na mfumo mbovu wa maisha hasa vyakula. Na kosa kubwa watu wanafanya ni kuitoa kwa njia ya upasuaji.

TSh 250,000kwa pakiti
Inatafutwa sana
VISION PRO

Vision pro ni sululisho la macho kwa watu wanao vaa miwani na wasio vaa miwana au wanapata shida kuona mbalia au karibu. Itakufanya uache na kutupa miwani kabisa.

TSh 150,000kwa pakiti
ZIMA MOTO
TSh 150,000kwa pakiti
Inapendwa Zaidi
MNARA

Mnara ni tiba ya be rahisi mno lakini ni dawa yenye nguvu sana, Inamfanya mwanaume ajiamini sana na afanye shughuli zake kwa tabasamu na hamu kubwa sana.

TSh 100,000kwa pakiti
Ona bidhaa zote
Watu wanasemaje

Hadithi za uponyaji kutoka kwa wateja wetu.

Mimi kwa miaka sita nimekua nikisumbuliwa na acid reflux, ni ugonjwa ambao umekula zaidi ya millioni nane lakini sikupona mpaka nikawa nimekata tamaa. Afya nono walinipa dawa ya week tatu tu tena wakasema nilipe nikipona, mpaka leo bado siamini kama nimepona huu ugonjwa mbaya
O
Omary HajiZanzibar
Mashine yangu ilikua ikimaliza bao moja nikimaliza hasisimami tena, nilikua namuona mke wangu anageukia ukutana kwa hudhuni. Kuna mtu akanipa link ya video za Afya nono walipo nipa dawa saivi namuonea huruma mke wangu
D
Daniel KavisheMtwara
Nguvu Asili imenirudishia uhai. Mke wangu pia anaona tofauti. Nimewashauri marafiki wengi tu.
B
Bw. SalumArusha
Blogu & Tafiti

Maarifa ya mitishamba, kila wiki.

Tunashirikisha tafiti, ushauri, na hadithi za jinsi mimea ya Tanzania inavyoweza kukusaidia.

Soma blogu yote
Anza leo

Una swali kuhusu afya yako? Tuko hapa.

Tuma ujumbe WhatsApp, tushiriki dalili zako, tutakushauri dawa sahihi — bure, bila kulazimika kununua.

Saa za kazi Jumatatu — Jumamosi · 8:00 – 20:00
Ofisi Salasala, Dar es Salaam
Barua pepe [email protected]